Hhaha hongeraKama alichofanya yule Msenegali jana kule nchini Ufaransa na tofauti yake tu ni kwamba Yeye alimuokoa Mtoto kutoka katika ghorofa ili asianguke na Kufa ila Mimi nilimuokoa Mlevi wa ' Mataputapu ' aliyepanda katika Mti mrefu wa Mnazi na nikafanikiwa Kumuokoa japo tulipofika nae chini na Mimi nilijikuta tayari nimeshalewa kidogo.
Kulala na maiti...!Asalam Jf
Kama heading inavyojieleza hapo
Katika maisha yako yote tangu umezaliwa mpaka hapa ulipofikia
Je ni kitu gani cha ushujaa umewahi kukifanya??
Mimi nilizuia rungu kwa mkono wangu ambalo lingeweza kumuua yule aliyekusudiwa kupigwa.. i got hurt bt i never regret for what i did.
Mkiwa pekeyenu wawili kibandani usiku porini halafu mwenzako akafa.. Utakimbia? Hata kama ni muoga utabaki nayeMkuu ulijisikiaje??
Maana me mara ya kwanza kuona maiti live mwili ulisisimka tena niliicheki kwa mbali aisee
Lakini unaisoma namba. Merde!Kutukuwapigia Kura Chadema na kupiga kampeni wasiingie madarakani kila uchaguzi ni jambo la kishujaa sana ..
Astaghifilullah! Weye!Kulala na maiti...!
Lakini wanaoishi Congo na Somali huko nadhani wamezidi ushujaa.Yani huu ni ushujaa kupita maelezo.Huwa nawaza sn nikitakiwa kuwepo Tz .Ni nchi ya ajabu sn hapa Duniani
Huo ni uoga sio ujasiri... Ungemfuata huko huko jeshini mmalizanenilitembea na mke wa mwanajeshi na alivyogundua aliapa angeniangamiza endapo angenishika lakini hata hivyo nilikimbia mji
hahaha mkuu huo unaousemea si ujasiri huko ni kujitoa muhangaHuo ni uoga sio ujasiri... Ungemfuata huko huko jeshini mmalizane
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa huo ndio ujasirihahaha mkuu huo unaousemea si ujasiri huko ni kujitoa muhanga
Ungebaki hapa hapa na kuonesha ujasiri wako ila kukimbia ni uoga.tendo lakijasiri nililofanya nilihama na kukimbia dar ili nisiwe mwanaume wa dar
Sina sababu ya kuongea, Yeye aliyembinguni anajua. Sikupaswa kulisema hili ila nimefanya hivyo kuwahamasisha watu bali sio kwa cheap popularity kwakuwa aliyejuu atanilipa.Ubarikiwe mkuu
Kama unachoongea kinaukweli mkuu