Kitu gani cha ushujaa umewahi fanya katika maisha yako??

Kitu gani cha ushujaa umewahi fanya katika maisha yako??

Nikiwa form 3 kuna ticha alikuwa mkuda sana.alikuwa anatufundisha civics na book keeping.
Basi siku hiyo kaingia pindi akaanza kunizoea!mi nimetuliaa kimya hadi akanifata kwanini naomgea na we umenyamaza??!!!nikamjibu samahani mwalimu akaniwasha fimbo moja matata sana kwanini unanijibu!!basi nikamvuta kidogo nikamshushia ndoo moja matata sana hadi chini.nikamfata na buti moja la mbavu akalia kama mbuzi kabanwa pumbu!wanafunzi wakanishika na kunizuia!
Ikawa kelele class mara naona ofisi nzima ya walimu wanakimbia kuja class hapo nikaona msala huu!nikapishana nao mlangoni barutiiii

hahaha uuwiii
 
Nilizamisha...kabla sijapump nikachomoa kiroho ngumu[emoji51][emoji51],nikainuka kwenda kwa Mangi kununua Ndomu.
Dah hii ni zaidi ya tukio la kijasusi

unastahili tuzo kwa kweli maana hii ni zaid ya intelijensia hahaha
 
Back
Top Bottom