Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,102
Nikiwa form 3 kuna ticha alikuwa mkuda sana.alikuwa anatufundisha civics na book keeping.
Basi siku hiyo kaingia pindi akaanza kunizoea!mi nimetuliaa kimya hadi akanifata kwanini naomgea na we umenyamaza??!!!nikamjibu samahani mwalimu akaniwasha fimbo moja matata sana kwanini unanijibu!!basi nikamvuta kidogo nikamshushia ndoo moja matata sana hadi chini.nikamfata na buti moja la mbavu akalia kama mbuzi kabanwa pumbu!wanafunzi wakanishika na kunizuia!
Ikawa kelele class mara naona ofisi nzima ya walimu wanakimbia kuja class hapo nikaona msala huu!nikapishana nao mlangoni barutiiii
hahaha uuwiii