Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuona mwanamke akakataa pesa ya mwanaumeNi vingi lakini hivi ni baadhi,
-Mmasai albino
-Mwanajeshi albino
-Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta)
Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito 😀
-Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
Hawa wamasai ni nomaMmasai kilema
Niliwahi sikia Masai akizaa kilema au Albino, humuua mtoto.Hizo mbili za mwanzo ziko sababu zake.
Kwanza Race ya kimasai wanaowana wenyewe kwa wenyewe ambao Ineonesha uingiliano wao hauna vinasaba vya kupata Albino... Kwa huu ukuaji wa Science swala la kupata Albino lipo kabisa ikiwa mmoja wenu au wote mna vinasaba vya Albino.. Ki ufupi ukipata Albino na ukifatilia ki undani kutoka kwako na kwa mwanamke hamna Jua umechapiwa(Ila uwe makini maana yaezekana kuna vizazi vingi vingi vyenu vilivyipota walikuwa nayo)
Pili kuwa na mwanajeshi Albino ndio hakuna kwasababu huo ni ulemavu kama ambavyo huwezi kuta mtu ambae ni kiwete ni mwanajeshi(Kazi ya jeshi kuna ukakamavu sasa ukisha kuwa Mlemavu wa jambo flani huwezi kukidhi vigezo)
Niliwahi sikia Masai akizaa kilema au Albino, humuua mtoto.
polisi muhindiNi vingi lakini hivi ni baadhi,
-Mmasai albino
-Mwanajeshi albino
-Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta)
Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito 😀
-Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
Uchawa wa awamu ya mamaNi vingi lakini hivi ni baadhi,
-Mmasai albino
-Mwanajeshi albino
-Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta)
Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito 😀
-Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
Wapo kwao india,ila mtanzania mwenye asili asia polisi wapo.polisi muhindi
Amezungumzia kwa upande wake yeye. Kama wewe unaziona daily ni huko kwenu, halafu sijui mnazo ngapi hadi kufikia hatua zioneoane filling station daily. Au wanaweka mafuta ya vibaba?Ambulance ikiwa petrol station mbona tunaziona daily?