Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

💥Sijawahi kuona Samia na kikwete wakipenda uzalendo
💥Sijawahi kuona rais muislamu tanzania ambaye ni mzalendo
💥Sijawahi kuona Muhammad akiwa na madhehebu
💥Sijawahi kuona Yesu akiwa na madhehebu
💥Sijawahi kuona mwanamke mwenye akili ya uongozi.
💥Sijawahi kuona shekh asiyekuwa shekh mandazi
Hao yesu na muhamad ungewaona vp wakati hata babu yako hajawaona
 
Mtu akisema ajawai kumuona mtume akifanya uzinzi .....unadhani anazungumzia kumwona kwa macho au kwa mafundisho
Anasemaje hajawahi kumuona mtu akifanya uzinzi wakati hakuwepo kipindi hicho ,akili hizi
 
Sijawah kuona mwanamke anasimamia msiba anatoa hela yake kila kitu kinaenda sawa kama wanavyofanya baadhi ya wanaume waliojipata
 
💥Sijawahi kuona Samia na kikwete wakipenda uzalendo
💥Sijawahi kuona rais muislamu tanzania ambaye ni mzalendo
💥Sijawahi kuona Muhammad akiwa na madhehebu
💥Sijawahi kuona Yesu akiwa na madhehebu
💥Sijawahi kuona mwanamke mwenye akili ya uongozi.
💥Sijawahi kuona shekh asiyekuwa shekh mandazi
Single package of ndom could reduce this shit!
 
SIJAONA MENGI HAYA NI BAADHI TU
1.Bulb nyeusi
2.Side mirror za ndege
3.Mke wa Rais akiwa mjamzito
4.Tairi zenye rangi tofauti na nyeusi
5.Mzanzibar mwenye chogo
6.Kuonana na member wa JF
7.Tajiri mwenye mapepo
8.Golikipa anayedaka mishale
9.Selfcontainer yenye choo cha shimo
10.Moyo wa sisimizi
 
Anasemaje hajawahi kumuona mtu akifanya uzinzi wakati hakuwepo kipindi hicho ,akili hizi
Kuona kuna maana mbili ...kuna kuona kwa macho na kuona kwa mantiki ....mfano mtu anaweza kusema sijawai kuona mungu akifa .. mfalme daudi anasema ajawai kuona mwenye haki kaachwa ...nk mfano mtu anakuambia unaonaje tukifanya hivi na vile ..hapo ni kuona kimantiki (logic) ..mfano mtu anaweza kusema sijawai kuona Mungu anaye watupa watakatifu jehanam...na kuwaingiza waovu peponi
 
Sijawahi kuona wala kusikia kiongozi wa serikali ya Tanzania ambaye sio MWIZI wa Mali ya uma, yaani fisadi
 
Back
Top Bottom