kitu gani hukukasirisha na kukuudhi job?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
ni mfanyakazi mwenzako anayongea ongea na mbea? mfanyakazi anayejifanya bosi? wakununa? know it all? bosi mtata? kitu gani?
 
Umbea rushwa ujuaji. Hata kama unajua u dont need to show me unless i asked u to
 
1.Sipendi tabia ya mtu asiye na cheti kizuri kujihamihani,yaani ni shida baadhi akishaona umemzidi elimu na mpo kitengo kimoja muda mwingi atatumia kujihami.sijui wanadhani huwa wanafiriwaje.nawashauri wajikubali na solution waende kujiongeza kuliko kuwa kero kwa wenzao.sio wote lakini msinielewe vibaya coz nimekutana na watu vyeti hawana na full kujiamini na hawawi kero kwa wenzao.
2.Watu wanaopenda kujifanya wao ni maboss kwa kila mtu.da nilifanya kazi mahali fulani kaka moja akawa anataka kujifanya boss kwa kila mtu,kunyenyekewa hovyohovyo..mie kwangu alichemsha siku moja akaniambia yaani wewe G natafuta kitu kinachokufanya ujiamini hivyo.mara aniambie nina dharau.basi mwisho kwangu alichemsha
 
Kazini huwa mnatongozwa sana na mabosi wenu pamoja na wafanyakazi wenzenu ila nashangaa hamsemi hapa,au huwa mnapenda hiyo kitu????

Mimi sijasema kwasababu haijawahi nitokea...my boss is a lady!Plus wakaka wengi ofcn kwetu wameoa (wanajiheshimu)
 
Wanaojiona kila kitu wanajua wao yaan mtu anaweza akawa supervisor wako hata ufanye kaz vipi hawez kuku appreciate kila siku ni kukuponda tu yaani huwa napata hasira natamanigi cku nikikutana nae huko mtaani nimpige na mawe anakera mno
 
Wanaojiona kila kitu wanajua wao yaan mtu anaweza akawa supervisor wako hata ufanye kaz vipi hawez kuku appreciate kila siku ni kukuponda tu yaani huwa napata hasira natamanigi cku nikikutana nae huko mtaani nimpige na mawe anakera mno
Pole mwaya ndo watu walivyo....Ukiona mtu yuko hivyo basi unajua mengi kuliko yeye ( and you are a threat to him/her) na anatafuta njia za kukushusha na kukukatisha tamaa.Move one na ignore them. I could write a book about what I am going through (with my boss) ila ignore them chapa kazi na dont let him/her judge you .
 
Mimi sijasema kwasababu haijawahi nitokea...my boss is a lady!Plus wakaka wengi ofcn kwetu wameoa (wanajiheshimu)

Wanajiheshimu wapi wewe!!Kwenye hii karne ya 21 ya michepuko hamna kitu kama hicho!!(kujiheshimu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…