Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Know it all
ni mfanyakazi mwenzako anayongea ongea na mbea? mfanyakazi anayejifanya bosi? wakununa? know it all? bosi mtata? kitu gani?
Bosi mtata...shida kubwa!
Know it all
Bosi mtata...shida kubwa!
Umbea rushwa ujuaji. Hata kama unajua u dont need to show me unless i asked u to
Kazini huwa mnatongozwa sana na mabosi wenu pamoja na wafanyakazi wenzenu ila nashangaa hamsemi hapa,au huwa mnapenda hiyo kitu????
waliokabidhiwa nini?Hasa waliokabidhiwa
waliokabidhiwa nini?
Pole mwaya ndo watu walivyo....Ukiona mtu yuko hivyo basi unajua mengi kuliko yeye ( and you are a threat to him/her) na anatafuta njia za kukushusha na kukukatisha tamaa.Move one na ignore them. I could write a book about what I am going through (with my boss) ila ignore them chapa kazi na dont let him/her judge you .Wanaojiona kila kitu wanajua wao yaan mtu anaweza akawa supervisor wako hata ufanye kaz vipi hawez kuku appreciate kila siku ni kukuponda tu yaani huwa napata hasira natamanigi cku nikikutana nae huko mtaani nimpige na mawe anakera mno
Kazini huwa mnatongozwa sana na mabosi wenu pamoja na wafanyakazi wenzenu ila nashangaa hamsemi hapa,au huwa mnapenda hiyo kitu????
Mimi sijasema kwasababu haijawahi nitokea...my boss is a lady!Plus wakaka wengi ofcn kwetu wameoa (wanajiheshimu)
Wanajiheshimu wapi wewe!!Kwenye hii karne ya 21 ya michepuko hamna kitu kama hicho!!(kujiheshimu)
cpend majungu. kazn.