secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL).
Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika
Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu?
Mzee wa Chelshit Mbaga Jr what's up!