secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Vyema.Nikipata mamilioni ya pesa.
Jambo ambalo haliwezi kutokea.Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL).
Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika
Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu?
Mzee wa Chelshit Mbaga Jr what's up!
Hii lazima itokee. Mi nimeshajiandaa kusherehekea.Jambo ambalo haliwezi kutokea.
Hili ukilifanikisha basi uatakuwa umenikaribia sana katika kiwango Cha ku-enjoy nyeto.Nipo kwenye process za mwisho za kupandikiza mboo nyingine kwa pembeni ya hii ya zamani, ili tendo la nyeto liwe na raha mara mbili zaidi
Quadruple huko mbali sana mimi akichukua Epl na kombe lolote jingine KONYAGI ndogo hapa mtaani zitakauka yaani nitaleta ukame wa konyagi ndogo mtaaArsenal winning quadruple this season will make me never forget 2026
STake tsh250x odds 3606380Nikipata mamilioni ya pesa.
Nikijenga mjengo kiluvya haaahaa 😊Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL).
Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika
Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu?
Mzee wa Chelshit Mbaga Jr what's up!
Nitampa jina la alwatan kenge mavumbiakitotoa salama bila ✂️
Au sio🤣🤣Nitampa jina la alwatan kenge mavumbi
Nitakufa na Iran.Nikijenga mjengo kiluvya haaahaa 😊
Cha pili IRAN AKICHAKAZWA na Israel na marekani..
HAAAHAA 😂 😆Nitakufa na Iran.
Iran fayaaa 🔥.