Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kingine nakumbuka
Kipindi nipo chuo nilikuwa Sina mkopo Wala nini
Lakini college yetu (Napahifadhi)
Kulikuwa Na wamama WA makazini ambao walikuwa wapo wanaongeza ujuzi

Kidume ikabidi nijiongeze nikawa najiweka safi as real gentleman
Kijana mstarabu nisiye Na makuu wala skendo
Lengo ilikuwa nifanikiwe kukamata hata wa3
Kweli wadau nilifanikiwa kutoka nao japo now NAJUTA kwa dhambi nilizokuwa nafanya ukichek ni wake za WATU
Lakini maisha yalinifanya niwe vile
Nikawa natembea nao Na nilihakikisha hawajuan Na walikuwa wananilea mpaka nilipomaliza chuo!

Huwa najiulizaga hivi wanawake akili zao zipo wapi
Hata katika maisha nikawa Na hofu ya kuja kunikuta now Nina watt lakini KUHUSU mke SITAKI kabisa kusikia coz nikikumbuka niliyokuwa nawafanyia wanaume wenzangu wenye wake zao Mungu ndo anajua
Mzeee unatutenga embu share hii kitu maana inaonekana imejaa mafunzo na funny....usitufanyie hivi
 
Dah mm sio kikubwa ila kimeniuma sn. nimeenda kwa kwa dem kuonanane maeneo hvi ya jioni nimevaa sweta langu la jinsi na earphones zangu mpya kavingangania nimemuachia alafu wiki mbele ananiambia tuachane dah vitu vyangu viliniuma sn nimeshidwa kumdai.
ila kuna madem njaa sn miaka hii sijue tatizo nn wakuu.

Mi nlishadai kofia na sweta kwa dem back days 2004
 
Habari zenu jamani JF,

Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau?

Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui aliniroga? Nikikumbuka machozi yanatiririka maana nilikodi Range mbili na Costa 3.

Nimewahi kuhonga
Fedha kiasi kikubwa sana kuwahi honga ni tsh laki 4 (alikuwa mpenzi sio zile za kununua)
Za kununua nishanunua kwa elfu 50 being kubwa kabisa hiyo
Zaidi ya hapo nishawahi honga simu Nokia flani hivi za miaka ile wakati huo ili kuwa ikiuzwa laki moja
Zaidi sana ni elfu 20,30,10,50 n.k
Bia 😀🤗
Vile nilivyohongwa mie ni fedha kiasi kikubwa sana kupewa ni tsh 50,000
Lakini pia nilishahongwa mashuka na foronya zake 😀
Kununuliwa chakula , bia 😀
Kulipiwa guest😀😀 (hatari sana)
Ni hayo tu
SIJAWAHI TOFAUTISHA KATI YA ZAWADI YA MPENZI WANGU NA HONGO YA MPENZI WANGU
 
Back
Top Bottom