Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Mzeee unatutenga embu share hii kitu maana inaonekana imejaa mafunzo na funny....usitufanyie hivi
 

Mi nlishadai kofia na sweta kwa dem back days 2004
 
Nimewahi kuhonga
Fedha kiasi kikubwa sana kuwahi honga ni tsh laki 4 (alikuwa mpenzi sio zile za kununua)
Za kununua nishanunua kwa elfu 50 being kubwa kabisa hiyo
Zaidi ya hapo nishawahi honga simu Nokia flani hivi za miaka ile wakati huo ili kuwa ikiuzwa laki moja
Zaidi sana ni elfu 20,30,10,50 n.k
Bia πŸ˜€πŸ€—
Vile nilivyohongwa mie ni fedha kiasi kikubwa sana kupewa ni tsh 50,000
Lakini pia nilishahongwa mashuka na foronya zake πŸ˜€
Kununuliwa chakula , bia πŸ˜€
Kulipiwa guestπŸ˜€πŸ˜€ (hatari sana)
Ni hayo tu
SIJAWAHI TOFAUTISHA KATI YA ZAWADI YA MPENZI WANGU NA HONGO YA MPENZI WANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…