Kitu gani kilikufanya usisimke namna hii?

Niko zangu uani na kata gogo nyuma ya choo nasikia Kuna chimbwa chimbwa; kupiga chabo Mzee wa nyumba Yuko uchi wa unyama anazunguka nyumba yake kwenye zile Kona za nyumba Kuna vitu alikua anafukia.
 
Duuh, mbona hili ni tukio la kutisha

giphy-downsized.gif
 
Eenheee ikawaje 😅😅😂
Nilibaki kama nimepigwa ganzi, sikuweza kukimbia Wala kuongea; Mzee akanipita kimya kimya bila kunisemesha akaingia ndani kwake.

Kesho mapema asubuhi akaniita, akanirudishia Kodi yangu na Hela ya kubebea mzigo nimuachie nyumba yake hataki matatizo na Mimi.
 
Kama movie vile 😳😳😳😱

giphy.gif
 
Back
Top Bottom