Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio chura mkuu? [emoji196]Mimi ni wanaume wa Dar tuuuuuu!!
Nilipofika Dar mara ya kwanza nilishangaa nipo na mwenyeji wangu kwenye kituo cha daladala hakuna gari hata moja ila kuna mpiga debe anaitia abiria "Segereaaaa, segereaaaa, segereaaaa"
Nilishangaa nikauliza nikaambia hao wanaitwa mateja.
Hata ngozi zaliwa pia! Ajab sana hawa watuKwato za kuku kumbe zaliwa
Mkuu ngozi ipiHata ngozi zaliwa pia! Ajab sana hawa watu
Halafu bado mnasema serikali tukufu ya ccm haijafanya kitu kwa miaka yote tangu tupate uhuru.First time kufika Dar stendi ilikuwa Kisutu enzi zile barabara ya kariakoo ilikuwa vumbi tupu mvua zikinyesha vumbi linageuka uji mwepesi. Tukatoka kisutu kuja kariakoo kwa mguu, eneo la msimbazi kilichonishangaza ni antena za televishen kwenye maghorofa zilikuwa nyingi kupitiliza, vimesimikwa vimlingoti kama 200 kwenye ghorofa moja. Baadae tukapanda chai maharage kwenda masaki.