Kitu gani kilikushangaza ulipofika Dar kwa mara ya kwanza.

Nilipofika Dar mara ya kwanza nilishangaa nipo na mwenyeji wangu kwenye kituo cha daladala hakuna gari hata moja ila kuna mpiga debe anaitia abiria "Segereaaaa, segereaaaa, segereaaaa"

Nilishangaa nikauliza nikaambia hao wanaitwa mateja.
 
Halafu bado mnasema serikali tukufu ya ccm haijafanya kitu kwa miaka yote tangu tupate uhuru.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…