Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Hata ngozi zaliwa pia! Ajab sana hawa watu
Mkuu ngozi ipi
[emoji23] noma sana aseeNaaanisha gozi za ng'ombe wanatengeneza supu.
Karibu Buza mkuu hiki ndio chakula chetu.
Niko available kwa Mama Kibonge sio mbaya siku moja moja tukameet wakuuMkuu kumbe tupo sehemu moja
hahahaa kazi kweli kweli ...Dah nyie acheni wakuu Dar ya zamani ilikuwa na hadhi kwa watu wa mkoa. Nilikuwa nikirudi watu wanataka niwasimlie stori za akina Maxi na Zembwela halafu na kiswahili changu cha Kidaslamu haha nilikuwa nawakalisha.
Niko available kwa Mama Kibonge sio mbaya siku moja moja tukameet wakuu
Nimeona AiseeKaribu tena mkuu siku hizi Kariakoo-Gongo la Mboto tunapita juu!
Kwakweli nilipofika maeneo ya mbezi ndo naingia dar nilishtuka kuona hali ya hewa imekuwa nzito na nilivozoea
Ikabidi nijikaze lakini nikasema.sitaishi dar hata iweje.
Kumbe yalikuwa mawazo ya kitoto now niko mjini hapa naenjoy though kuna changamoto kama za tracfic jam na joto ila nimezoea sasa
Mkuu kule Arusha tuliita #Makanyagio# ndo kwato za kukuKwato za kuku kumbe zaliwa
Niliogopa kuiita "Miguu ya kuku" nisijeambiwa ni kale kabunduki ka mfukoni. "Bastola"Mkuu kule Arusha tuliita #Makanyagio# ndo kwato za kuku
Na kweliNiliogopa kuiita "Miguu ya kuku" nisijeambiwa ni kale kabunduki ka mfukoni. "Bastola"