MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
While my daughter was attending JKT nilimwombea chuo. Sikupenda UDSM kutokana na life style ya pale, though her pass was good enough.
Niliomba chuo kingine
Acha ushambaSwali linakuhusu wewe,lakini cha ajabu unamuelezea binti yako,Khaa Acha wachina wachukue hii nchi
Ukiwa mjanja wewe inatosha kabisaπ€£Acha ushamba
Wenye uchungu kwa kusoma nje ya UDSM utawajua tu..!!Inategemea unataka kusoma nin,
Kwa watu wa Afya, UDSM huwa hatuiwazi kabisa π€£ tunawaza Muhas na UDOM tu,
So usiwaze kila mtu mwenye akili anaenda Udsm, huko kwa wanaosomea siasa na vitu vya ajabu ajabu kama mazingira na international relations π€£π€£
ππππWenye uchungu kwa kusoma nje ya UDSM utawajua tu..!!
Hizi sasa ni tabia binafsi, si za chuoMzee wangu alipingana na aina ya maisha ya UDSM. Hii ni baada ya binamu zangu mmoja kupata ujauzito akiwa mwaka wa 1 na mwingine wa kiume ku disco sababu ya ulevi uliokithiri.