Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

IMG_20250331_120227.jpg

​
The gademu killer! NUMBER ONE 1️⃣, You Know 😂 Wale wanafunzi wa Ilboru niliwashinda hata Moko Kanda, halafu cjui wakapotelea wapi baada kumaliza six..😂
 
Engineering usiposoma UDSM unataka ukasome wapi hapa Tanzania?
Engineering
1. Mbeya University of Science and Technology MUST
2. Dar es Salaam Institute of Technology DIT
3. National Institute of Transport NIT
4. Ardhi University
5. Dar es Salaam Maritime Institute DMI
6. University of Dodoma UDOM
7. Nelson Mandela Institute of Science and Technology cha Arusha
Sio lazima UDSM ingawa UDSM pia ukitaka unaenda na kwenye Engineering UDSM ni chuo kizuri tu, ila hakipo peke yake.
 
Kwa sasa imekuwa ngumu zaidi kujiunga na hiki chuo. Wengi wenu mliojiunga wakati huo kwa sasa mgeishia kwenda chuo cha kiislam Morogoro
 
Back
Top Bottom