Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Haaahaa 😅 😅 🤣 anakunywa vumbi la kutosha 🏃🏃Kuna nyumbu mmoja mimi nilienda udom yeye udsm akanicheka nipo chuo cha kata , now yupo huko karatu anapanda
ma cruza kwenda job na anakunywa vumbi la kutosha😁😁😁