Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Ni kweli hilo lipo sana, lakini familia nyingi zinajuana.Wasiwasi wangu huko kijijini kukuonea kijicho na kuku waisha yaani kuku R.I.P kabla ya WAKATI kufika.🤔
Kwahiyo sio rahisi kukuwahisha hadi ndugu wahusike/wahusishwe