min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
SawaHuu uongo!!
SawaHuu uongo!!
Ungemsamehe tu mkuu. Kila kipindi cha maisha kina high class wao ni sawa na shule ya msingi. Wakali wa Mathematics na English waliheshimikaHahahaha miaka ya nyuma tupo o level dada mmoja alikua anasoma sayansi so sisi tunaosoma art alikua anatuona mapimbi flani, full mashauzi hata kumtongoza hatuwezi, huku na huko tumekutana udsm wote tunapiga education.... tukiwa lecture alikua ananiangalia kimawenge sana halafu gangster sina story nae..
Mtoto anapotea tu popote, hata asome oxfordWhile my daughter was attending JKT nilimwombea chuo. Sikupenda UDSM kutokana na life style ya pale, though her pass was good enough.
Niliomba chuo kingine.
Poa.Sawa
Njoo tuzimue vichwa mama anguPoa.
Madam umemnyanyasa mno kihisia huyu ndugu yangu Min-me. Umefanya sambulio la aibu.Ila itabaki kuwa hukupita UD, 😂😂😂😂
Hayo mengine ni kujilisha upepo tyuuh.
Ila now upo hapo marangu mtoni una uza chupi na karanga pale stendi😆😆😆😆Nimesoma UDSM na ninajivunia sana 💃💃💃 UD haiusiki na tabia mbovu za mtu. Chuo ni kujichunga mwenyewe.
Huyo aliyepo wa Mzumbe ndiyo anafanya nini? Kila kitu anauzaMazao ya Udsm ndio yamefanya mpaka Sasa nchi hii kubaki masikini.
Sio kwel master na isitoshe nagida kinywaji changamshi hapa 😁😁 kawaida tu.Madam umemnyanyasa mno kihisia huyu ndugu yangu Min-me. Umefanya sambulio la aibu.
Nitaandaa uzi wa watu maarufu ambao hawakupita UDSM... Mimi na wewe tutakuwa wa kwanza tukifuatiwa na Mshana JrSio kwel master na isitoshe nagida kinywaji changamshi hapa 😁😁 kawaida tu.
Ni Mwanahabari Mahiri na Video editor mzuri kabisa ninaekipiga popote.😊 kuna siku nitakuambia unitazame na kunisikilizaIla now upo hapo marangu mtoni una uza chupi na karanga pale stendi😆😆😆😆
Japo mimi sio maarufu kaka😆😆😆Nitaandaa uzi wa watu maarufu ambao hawakupita UDSM... Mimi na wewe tutakuwa wa kwanza tukifuatiwa na Mshana Jr
Nimesoma UDSM na ninajivunia sana 💃💃💃 UD haiusiki na tabia mbovu za mtu. Chuo ni kujichunga mwenyewe.
Wewe si ndio?Baada ya kumaliza udsm unafanya kazi ya u winga, forex am udalali wa nini
Sio kweli wewe ni mchaga na wachaga nawajua ,hapo unachakarika na soka la magadi sokoni najua.Ni Mwanahabari Mahiri na Video editor mzuri kabisa ninaekipiga popote.😊 kuna siku nitakuambia unitazame na kunisikiliza
😂😂😂😂😂Madam umemnyanyasa mno kihisia huyu ndugu yangu Min-me. Umefanya sambulio la aibu.
Duu enzi za matriculation ,ivi ule mtihani ulikuwa una manufaa Gani jamaniChuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu kusoma pale ila haikuwezekana. Nitaeleza kwanini.
Kwa upande wangu nilishindwa kujiunga na UDSM kwa sababu kwenye maombi yangu sikuambatanisha baadhi ya vitu hivyo maombi yangu kutofanyiwa kazi. Nakumbuka siku chache kabla ya Marticulation exam pale Arusha Tech ndo nilipokea majibu kuhusu makosa niliyofanya wakati wa kutuma maombi. Ikabidi nikajiunge na chuo kingine ambacho bado hawakuwa wamefika deadline ya kutuma maombi.
Je, wewe kwanini ulishindwa kusoma UDSM undergraduate?
Hapana sifanyi hayo Bro.Sio kweli wewe ni mchaga na wachaga nawajua ,hapo unachakarika na soka la magadi sokoni najua.