Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Mzee Kiranga ulikuwa na division III ya 15? Usingepata nafasi.
Nilipiga one. But that doesn't mean much.
Ila tulishaanza kuondoka Tanzania. Dada yangu mdogo hata sekondari (O Level) hakusoma Tanzania alisona Uingereza.
Tanzania shule hazina walimu, hazina vifaa, matatizo kibao, divisions zake, hususan za miaka hiyo, hazina maana.
Unaona vijana siku hizi wanapata one kama zinagawiwa kwa sadaka.