Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kwa nini? Kivipi?Leo nime tembea kwa miguu umbali mrefu kariakoo nimegundua sisi sa bongo uwezo mdogo Sanaa akili hata Kumbukumbu
Kwa nini? Kivipi?Leo nime tembea kwa miguu umbali mrefu kariakoo nimegundua sisi sa bongo uwezo mdogo Sanaa akili hata Kumbukumbu
Ngoja nilewe kidogo ndio nakua mtamu😊Sisi hayo yote tumeyapata kwenye shule ya SERIKALI.
Mimi Arusha vizazi vyote.. Baba yangu mzazi alishiriki ujenzi wa Sheikh Amri Abeid Stadium miaka ya 70. Anasema wanafunzi wote walishurutishwa kusaidia fundi.Hongera zako.
Mimi Dar kwetu tangu siku za kabla ya Mjerumani kuja.
Baba yake bibi yangu kajenga kanisa hapo Azania Front, wamemaliza kujenga mwaka 1903.
Niliona nishaupita kimo mji nikaamua kwenda Dar ya dunia. New York City.
Yaani jomba bila Chuo labda ningekuja na fuso ya ndizi na mwisho ingekuwa pale Mabibo.Binafsi Mimi nililetwa dar na chuo
Mimi ile shule ya mkoani Tena wilayani nili faulu kwa Ile division na kwenda shule ya vipaji haikua bahati mbaya..
Ndo yule uliyekua unamuombea mkopo?While my daughter was attending JKT nilimwombea chuo. Sikupenda UDSM kutokana na life style ya pale, though her pass was good enough.
Niliomba chuo kingine.
Wengi tusinge kanyaga ardhi ya dasalama.Yaani jomba bila Chuo labda ningekuja na fuso ya ndizi na mwisho ingekuwa pale Mabibo.
Nipo nimetulia tu mkuuUmeamkaje hapo Mr. Naona weekend inaendelea😊
Cc: @Mr Bashite ZeroWengi tusinge kanyaga ardhi ya dasalama.
Kumbe una mtyomtyo mkubwa! Nipe nimuone, You Know 😂 💕While my daughter was attending JKT nilimwombea chuo. Sikupenda UDSM kutokana na life style ya pale, though her pass was good enough.
Niliomba chuo kingine.
Sikuwahi kuwa na ndoto na hicho chuo na hata nilivyofaulu vzr sijakichaguaChuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu kusoma pale ila haikuwezekana. Nitaeleza kwanini.
Kwa upande wangu nilishindwa kujiunga na UDSM kwa sababu kwenye maombi yangu sikuambatanisha baadhi ya vitu hivyo maombi yangu kutofanyiwa kazi. Nakumbuka siku chache kabla ya Marticulation exam pale Arusha Tech ndo nilipokea majibu kuhusu makosa niliyofanya wakati wa kutuma maombi. Ikabidi nikajiunge na chuo kingine ambacho bado hawakuwa wamefika deadline ya kutuma maombi.
Je, wewe kwanini ulishindwa kusoma UDSM undergraduate?
Unakuta watu wazima wamesimama katikati ya barabara za watembea kwa miguu.. hawana habari Wala kujishitukia kua Wana block njia mpaka waambiwe ndio wasogee pembeni.Kwa nini? Kivipi?
Kama Kawa tuna scratching brain 🤣Na haswa tunayapata kwenye vin
ywaji changamshi 😊
Ni utoto kabisa mkuu , halafu PCB wanavyokuja 4m5 kila mtu ndoto yake MUHAS na kupiga makozi makubwa ya afya ila mwisho wa picha wanaamua darasa zima watakaona MUHAS na kozi za afya hawavuki 10 unakuta wengine Wanaishia kozi za kilimo na mifugo SUA , wengine za Uhasibu nkCombination of Beautiful Girls (CBG) 😁😁
Ila maisha, ukiwa high school mtu anaweka ego ya u_PCM Ila baadae anakuja kutawaliwa na mtu wa HKL
Ni utoto tu na kukosa exposure huwa kunasumbua
Noma sana mkuu tukilewa inabidi tuzime simu😄😄Kama Kawa tuna scratching brain 🤣
Mie nilipata VYUO viwili, You KnowChuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu kusoma pale ila haikuwezekana. Nitaeleza kwanini.
Kwa upande wangu nilishindwa kujiunga na UDSM kwa sababu kwenye maombi yangu sikuambatanisha baadhi ya vitu hivyo maombi yangu kutofanyiwa kazi. Nakumbuka siku chache kabla ya Marticulation exam pale Arusha Tech ndo nilipokea majibu kuhusu makosa niliyofanya wakati wa kutuma maombi. Ikabidi nikajiunge na chuo kingine ambacho bado hawakuwa wamefika deadline ya kutuma maombi.
Je, wewe kwanini ulishindwa kusoma UDSM undergraduate?
HaaahaaNoma sana mkuu tukilewa inabidi tuzime simu😄😄
Ulichukua umaamuzi sahihi , Elimu ya Tanzania karibia ngazi zote ni kukariri tu wakati mwingine kusomeshwa vitu visivyokunufaisha.Nilipiga one. But that doesn't mean much.
Ila tulishaanza kuondoka Tanzania. Dada yangu mdogo hata sekondari (O Level) hakusoma Tanzania alisona Uingereza.
Tanzania shule hazina walimu, hazina vifaa, matatizo kibao, divisions zake, hususan za miaka hiyo, hazina maana.
Unaona vijana siku hizi wanapata one kama zinagawiwa kwa sadaka.
We mzee kwenye ule mgomo wa kina Samuel sitta wa siagi na maziwa na we ulikua mmoja wao hapo jalalani.Chuo Kikuu cha Taifa
Almost 90 ya Viongozi wote tangu kupata Uhuru wametokea hapo