jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Sikuwahi kuwa na wazo wala ndoto ya kusoma UDSM.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu kusoma pale ila haikuwezekana. Nitaeleza kwanini.
Kwa upande wangu nilishindwa kujiunga na UDSM kwa sababu kwenye maombi yangu sikuambatanisha baadhi ya vitu hivyo maombi yangu kutofanyiwa kazi. Nakumbuka siku chache kabla ya Marticulation exam pale Arusha Tech ndo nilipokea majibu kuhusu makosa niliyofanya wakati wa kutuma maombi. Ikabidi nikajiunge na chuo kingine ambacho bado hawakuwa wamefika deadline ya kutuma maombi.
Je, wewe kwanini ulishindwa kusoma UDSM undergraduate?
Hahahaha!Hizo shule zilikuwa zamani! Lakini saivi hamna kitu, You Know π Utafikiri chuo cha MLIMANI π€£ Wale bila kukaguliwa jichoni bado hawajagraduate π
Saivi hali imebadilika, You Know πHahahaha!
Uhamiaji wahusike kwenye ukaguzi, tutawaongezea mshahara kwa extra task.
Kiaje?Saivi hali imebadilika, You Know
Huu ni ukweli mchungu. Hasa kwa wanaoponda UDSM.Wengi wenu mlikosa sifa a. K. A mlikosa marks a. K. A mlikosa under score. Msizunguke sana
Kusoma sheria miaka 4Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu kusoma pale ila haikuwezekana. Nitaeleza kwanini.
Kwa upande wangu nilishindwa kujiunga na UDSM kwa sababu kwenye maombi yangu sikuambatanisha baadhi ya vitu hivyo maombi yangu kutofanyiwa kazi. Nakumbuka siku chache kabla ya Marticulation exam pale Arusha Tech ndo nilipokea majibu kuhusu makosa niliyofanya wakati wa kutuma maombi. Ikabidi nikajiunge na chuo kingine ambacho bado hawakuwa wamefika deadline ya kutuma maombi.
Je, wewe kwanini ulishindwa kusoma UDSM undergraduate?
Feza, Mzumbe, wewe jamaa Advance hujasoma Tosa kweli? πΉKWA SABABU NILIPATA ADMISSION KOZI ISIYO NA UJUZI. nikaamua kwenda zangu Mzumbe morogoro
Janja janja imekua nyingi, You Know ππΎWengi wenu mlikosa sifa a. K. A mlikosa marks a. K. A mli under score. Msizunguke sana
Feza, Mzumbe, wewe jamaa Advance hujasoma Tosa kweli? πΉ
Kwahiyo aliogopa na wewe ungepewa mimba? π₯Mzee wangu alipingana na aina ya maisha ya UDSM. Hii ni baada ya binamu zangu mmoja kupata ujauzito akiwa mwaka wa 1 na mwingine wa kiume ku disco sababu ya ulevi uliokithiri.
Kila nikitaka kuandika jibu nililodhamiria nafsi yangu inanikataza sababu nahisi nakuheshimu.Kwahiyo aliogopa na wewe ungepewa mimba? π₯
Wote wa UDSM MU UDOM MUST SAUTI TEKU mwisho VETA kuchukua ujuzi πΉπΉππ huu uzi wa kujiburudisha tu maana baada ya chuo hata aliyesoma chuo cha Nyuki Tabora anaweza kumkimbiza wa UDSM kimaisha...
Kwanini? Nimeona umesema baba yako aliogopa sababu dada yako alipewa mimba. Au nimesoma vibaya mkuu?Kila nikitaka kuandika jibu nililodhamiria nafsi yangu inanikataza sababu nahisi nakuheshimu.
Hili suala la VETA nadhani ni la kipekee sana. Hakuna nchi iliyowahi kufanya hiviWote wa UDSM MU UDOM MUST SAUTI TEKU mwisho VETA kuchukua ujuzi πΉπΉ
Feza, Mzumbe, wewe jamaa Advance hujasoma Tosa kweli? πΉ
VETA mkuu, Mzumbe nilikua naenda kulala Matola..!! πΉNa Wewe umesoma chuo Mzumbe?