Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Aman iwe kwenu watumishi

Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi

Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji

Hakika waliweza na walifanikiwa

Lakin basi kitu gan kimewakumba hawa vijana wa leo wa kizungu kushindwa kumudu kuishi Africa ?

Asanten nawatakia sikukuu njema ya YESU KRISTO MFALME WA WAFALME
 
Wazungu wengi walifanya kazi za mission,......si unajua wamission walisaidiana na explorer kuwaexploit raia.........dini ilitumika kama nyenzo,......ndio maana makanisa mengi yalikua chaka huko,watu wakiondoka na wanyama na madini
Kwa sasa=Neo-Colonialism,.......Kuna modern tools.........,So wazungu wengi wameweka tools kule maporini migodini kuchukua madini,mapori ya akiba kuwinda wanyama,.....through karatasi na maandishi yaitwayo sheria yanayowanufaisha wao
 
Wameshainstall tools zao hawahitaji kuja tena huku, ramani ya kila mahala Africa wanayo na wakala wao waaminifu wapo kila mahala.
 
Back
Top Bottom