Wazungu wengi walifanya kazi za mission,......si unajua wamission walisaidiana na explorer kuwaexploit raia.........dini ilitumika kama nyenzo,......ndio maana makanisa mengi yalikua chaka huko,watu wakiondoka na wanyama na madini
Kwa sasa=Neo-Colonialism,.......Kuna modern tools.........,So wazungu wengi wameweka tools kule maporini migodini kuchukua madini,mapori ya akiba kuwinda wanyama,.....through karatasi na maandishi yaitwayo sheria yanayowanufaisha wao