Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ndo hivyo mkuu. Barmaids wengi ni malaya waliojificha kwenye kivuli cha uhudumukwahiyo wale wadada wapo kwa ajil ya kazi mbili mbil
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo mkuu. Barmaids wengi ni malaya waliojificha kwenye kivuli cha uhudumukwahiyo wale wadada wapo kwa ajil ya kazi mbili mbil
staha muhimu. ila cha muhim zaid ya vyote kuwagawa watu kimakundi ndan ya akili yako na kutomvunjia mtu heshima yake hata kama mdogo kwakoTaratibu mjini hapa uwe na staha
nishakupata sasa bossNdo hivyo mkuu. Barmaids wengi ni malaya waliojificha kwenye kivuli cha uhudumu
😁😁😁 kwahiyo walevi tunajua mali mpya kumbe tunapigwa ngumi ndoige bila kujuaSiri ya mauzo kwa pande zote 2 ni kuwa na wahudumu wapya kila siku mwana.
1. Wanaume wanafataga Wahudumu wapya maana kwa akili zetu walevi tukiona mtu mpya tunawaza hata kwenye game ni mpya kumbe sometimes kashaharibu balaa kuanzia mikoani hadi bar za Dar, so mauzo ya vinywaji huongezeka kukiwa na wenzetu wapya
2. Mdada akienda sehemu wasiyomjua biashara zake zinasimama haswa! Anaonekana mpya wakware wanamshobokea
Na ndio maana mameneja wengi wa bar za hapa mjini wanatafuta wahudumu wenye takonishakupata sasa boss
Una tatizo la Afya ya Akili.siend kutazama mpira tu pia natazama mpira wachezaji na refa wenyewe
doooh kwahiyo ukimwi wazi waziNa ndio maana mameneja wengi wa bar za hapa mjini wanatafuta wahudumu wenye tako
Walevi wakishalewa wanawashikashika tako, matiti ukimwelewa na kama lodge iko karibu ni dau lako tu unachepuka naye kama hajabanwa na kazi au mkapanga baada ya kazi au siku ana nafasi
Kweli kabisa boss haujakosea.Una tatizo la Afya ya Akili.
Halafu ni kweli, Kila siku namtafuta Angel sijui aliko roho inaniuma sana.Kama nilivyoanza hapo juu kuuliza kuna kitu gani kinaendelea ndani ya bar za dar es salaam.
mimi sio mtu wa maji ila napenda kujichanganya na wana siku moja moja kutazama EPL na wana huku tukipata maji na kutoa lock si unajua bhana maji ya baba ni mazuri kwa afya ya kiumbe hai yoyote yule.
jambo ambalo linanishangaza na nakosa majibu. mara nyingi kila nikienda bar nakuta wahudumu wanabadilika.
yani kila baada ya miezi mitatu au minne nakutana na wahudumu wapya nikijaribu labda kuwauliza yule fulani yupo wapi majibu wanayonipa kuwa hawajui alipo au kaacha kazi.
sasa wajuzi ebu naomba munijuze nini kinaendeleaga kwenye mabar ya hapa dar es salaam mpaka wafanyakazi wahudumu wa kike hawadumu sana bar.
UKIMWI upo kama kawadoooh kwahiyo ukimwi wazi wazi
Kwahiyo kuna Baamedi demu wako ametoroshwa?staha muhimu. ila cha muhim zaid ya vyote kuwagawa watu kimakundi ndan ya akili yako na kutomvunjia mtu heshima yake hata kama mdogo kwako
na ao wakina angel wapo weng kila bar ina muhudumu anaitwa AngelHalafu ni kweli, Kila siku namtafuta Angel sijui aliko roho inaniuma sana.
hapana sina demu ambae ni bar medi ila kuna mmoja alitokea kuwa mwanang sana tu ila hata sijui kapotelea wapiKwahiyo kuna Baamedi demu wako ametoroshwa?
basi maisha ya ubar medi yana faida sana kwa wanawakeWanaolewa, au wanapata mabwana wa kudumu.
Wanaenda kufunguliwa vioksi, gloceries na liquor store.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingetosha kusema ni mshamba au umri au ila uko kwengine unakosea sisi uku ziwani tunaelewa kwann wanabadilishwa kila baada ya miezi miwili au mitatu!!!We mtoa mada una umri gani? Bila shaka we ni ke na unatokea usukumani ndani ndani huko kwa akina mayala! Kiufupi we ni mshamba na mgeni mjini hapa
Mdada mtamu sana Enjo jamani, nimeamua kumtafuta Dar nzima, mtaa kwa mtaa!na ao wakina angel wapo weng kila bar ina muhudumu anaitwa Angel
Uanaumee nikuzuia hisia zako c kuleta shobo kwa kila mwanamke unae muonaa,m,nimekuelewaa mkuuu.inshu sio kuchukua namba sio kila demu mzuri ina maana natakiwa nimtongoze au nilale nae.
kuna wengine tunawapotezea tu na uo ndo uanaume kudhibiti hisia zako
pamoja Sana kiongoziUanaumee nikuzuia hisia zako c kuleta shobo kwa kila mwanamke unae muonaa,m,nimekuelewaa mkuuu.