Kitu gani kinaendelea Baa za Dar?

Kitu gani kinaendelea Baa za Dar?

Siri ya mauzo kwa pande zote 2 ni kuwa na wahudumu wapya kila siku mwana.

1. Wanaume wanafataga Wahudumu wapya maana kwa akili zetu walevi tukiona mtu mpya tunawaza hata kwenye game ni mpya kumbe sometimes kashaharibu balaa kuanzia mikoani hadi bar za Dar, so mauzo ya vinywaji huongezeka kukiwa na wenzetu wapya

2. Mdada akienda sehemu wasiyomjua biashara zake zinasimama haswa! Anaonekana mpya wakware wanamshobokea
Umenikumbusha Kuna dada flani alikujaga mtaani ana shape balaa akawa anajisitiri vizuri tu mabaibui kama yote, Basi vijana tukaanza kumshobokea vibaya mno aliyekula alikula daah baadae tunakuja kupata taarifa zake huko aliptoka tulichoka ikabidi kila MTU awahi hospital kucheki afya.

Vijana mnaobalehe msipende kushobokea mademu wageni.
 
Back
Top Bottom