Siri ya mauzo kwa pande zote 2 ni kuwa na wahudumu wapya kila siku mwana.
1. Wanaume wanafataga Wahudumu wapya maana kwa akili zetu walevi tukiona mtu mpya tunawaza hata kwenye game ni mpya kumbe sometimes kashaharibu balaa kuanzia mikoani hadi bar za Dar, so mauzo ya vinywaji huongezeka kukiwa na wenzetu wapya
2. Mdada akienda sehemu wasiyomjua biashara zake zinasimama haswa! Anaonekana mpya wakware wanamshobokea