Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Hilo tatizo la vijana kuomba kununuliwa pombe lipo sana Arusha huwa najiuliza sana mtu kafuata nini sehemu asiyoweza kujihudumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamnunulia mtu kileo, analewa anakutukanakuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma.
Mnaweza hata mkapigana😂😂😂Unamnunulia mtu kileo, analewa anakutukana
sasa yote hayo yanini bora usimnunulieMnaweza hata mkapigana😂😂😂
Si una mnyima tyuuhHilo tatizo la vijana kuomba kununuliwa pombe lipo sana Arusha huwa najiuliza sana mtu kafuata nini sehemu asiyoweza kujihudumia.
Sheikh ama mlokole kuja kwenye starehe na kuanza kuongea vitu anavyohisi yeye kuwa ni sahihi kwa mwanadamu kuishi ama kufuata. Unabaki kujiuliza kama hapendi starehe kwanini kaja kujirusha? Hawa watu wanaboa sana aisee.Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane
Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu
Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?