Kitu gani kinakuondolea hamu ya kuendelea kufanya mapenzi?

Kitu gani kinakuondolea hamu ya kuendelea kufanya mapenzi?

Mkuu hiyo huwa inatokea baada ya yote hayo!kwani unapotongoza huwa mnakuwa ziro distance mkuu?hiyo unaikuta siku ya kufanya matusi!!!
Mpaka uje Ku sex na mtu ananuka mdomo?
Hukumtongoza?Hukumbusu?Uliagiza Tu kama mzigo ukakutana nae kitandani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala sio kununua dada poa,kuna ile kula tunda kimasihara,ndo unakutana na dhahma hzo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaokula tunda kimasihara ni binadamu ambao hawana "rationality" (hawafikiri in accordance with reason or logic). Huwezi kukutana na mtu tu from nowhere ukafanya nae mapenzi. Huo ni upuuzi uliotukuka. Being illogical and unreasonable.

Kitaalamu hilo la kula tunda kimasihara tunaliita "Irrationality of the Rational". Yani umepewa utashi lakini una act kama hauna utashi.
 
Sijakutana na changamoto kwa mwanamke ya kunikata stimu ya kuendelea na show au kuzima mshumaa uliowaka ila kuna baadhi ni changamoto kwangu;

Baby tumia condoms! Bora tukapime kuliko kutumia hii kitu.

Nikikutana na ke asiyependa route ndefu. Aliyezoea dk 10 tu! Napata wakati mgumu.

Baharia wa Atlantic Ocean napata msukosuko hapo!

Tangazo lako limeeleweka baharia [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom