mgonga
Senior Member
- Oct 26, 2018
- 174
- 562
- Thread starter
- #21
Mkuu hiyo huwa inatokea baada ya yote hayo!kwani unapotongoza huwa mnakuwa ziro distance mkuu?hiyo unaikuta siku ya kufanya matusi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka uje Ku sex na mtu ananuka mdomo?
Hukumtongoza?Hukumbusu?Uliagiza Tu kama mzigo ukakutana nae kitandani?
Sent using Jamii Forums mobile app