Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

Kunijali is everything. Its what makes me keep going. Na major key ya kunijali ni mawasiliano. Its the small kind deeds that matter to me[emoji3059][emoji3059] i miss u already my crime partner. I love you so much. More than you fathom...
 
Can i have ur digits?
 
Kupendana ni jambo linalokuwa mwanzoni mwa penzi baada ya hapo ni utii wa kiapo, majukumu na kuzoeana.

Kuzoeana kunasababisha kuwekeza muda, rasilimali, utambulisho kwa jamii na uzazi kwa mpenzi wako. Hatua hii husababisha ugumu wa uhusiano kuvunjika na mnakuwa kitu kimoja.
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Back
Top Bottom