Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

Wanawake akili zetu zilivyo ni kwamba baadae ukikolea atakuja kulipiza,hili jiandae nakupa siri kama mwanamke
Now anajua hujakolea hataki kutumia nguvu sana utamuelewa badae kwanini alikwambia ye yupo haendi popote [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] acha basi dada angu, mbona tunatishana asubuhi ya Pasaka?
 
Akinipa hela tu najua ananipenda bila hela hanipendi huyo, mapenzi ni kutoa kitu ambacho kinauma.

Wanaume hela zao zinawauma sana hivyo akikupa za kutosha ni mapenzi tosha.
 
Kupendana ni jambo linalokuwa mwanzoni mwa penzi baada ya hapo ni utii wa kiapo, majukumu na kuzoeana.

Kuzoeana kunasababisha kuwekeza muda, rasilimali, utambulisho kwa jamii na uzazi kwa mpenzi wako. Hatua hii husababisha ugumu wa uhusiano kuvunjika na mnakuwa kitu kimoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] acha basi dada angu, mbona tunatishana asubuhi ya Pasaka?

Huwa unaona humu wanasema one man down[emoji23][emoji23][emoji23] ndio wewe one man down mtarajiwa
Muombe msamaha Kwa uliofanya nyuma huwa tukiombwa msamaha tunasamehe kweli ila ukitumia ubabe wa kiume kumaliza mambo mwanamke mwenye akili huwa anatulia ila huko mbele utalia
Kama unampenda toka nae ongea nae mueleze now umetulia
Usijiamlie kichwani kwako bila kumtaarifu mwezio anaandaa bomu[emoji3]
If you don’t want to loose her do that,utanishukuru badae
 
Serious kubeba mimba ndio ishara ya upendo[emoji15][emoji15]
Basi ndio maana naambiwa simpendi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama hutamani kumzalia mwanaume wako utajiita unampenda!? Maana humpendi kiivyo ni basi tu upo nae
 
Kusema kweli kenzy nakupenda sana na unauhadaa moyo wangu! Ni vile natamani uwe wangu lakini nashindwa nianzie wapi na leo nimeamua nifunguke ya moyoni🙈🙈🙈😍😍
😃😃
Kipele kimepata mkunaji nakuja pm..😊
 
View attachment 1741024

Habari wana JF,

Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako...

Pia soma: Do you feel LOVED?
Akiweka password kwa simu yake, tukiwa wote ako anaweka flight mode au Silent Mode, sometimes ako ana delete inbox yote!
 
Sasa kama namfanyia mambo madogo tu anashukuru mpaka anatoa machozi,fikiri siku nikimfanyia ile suprise ninayotarajia kumfanyia si atazimia kwa furaha huyu binti.
Hajawahi kuomba kitu zaidi ya kunio mba nisimuache bali mimi namfanyia tu kila nikipata nafasi.
Kuoendwa raha asikwambie mtu.
 
We Bata inamaana hata hicho unachotendewa kwenye avatar bado hakitoshi tu..?? We utakuwa na ukoo wa ndungulire..[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amenisumbua sana nimpe mimba, hanisumbui kuomba omba hela na mawasiliano yapo intact!
Ahahah...angalia usibugi bro.Huyo anakuweka mtu kati sio muda mrefu.Ukitoa tu hiyo mimba yako umpe baba hapo kazi kwisha.Hela hatoomba ila utatoa kwa lazima 😂😂 ukibisha utapelekwa ustawi 😆
 
Ahahah...angalia usibugi bro.Huyo anakuweka mtu kati sio muda mrefu.Ukitoa tu hiyo mimba yako umpe baba hapo kazi kwisha.Hela hatoomba ila utatoa kwa lazima 😂😂 ukibisha utapelekwa ustawi 😆
Ahahahahah ntalea tu haina tatizo mkuu
 
Back
Top Bottom