Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

Wakati huo hujui usiku wa jana yake au jana mchana amefanywa nini.

Kwangu mimi hata aninunie sawa tu ila asigawe mzigo kwa raia basi. Na tukiwa kunako 6x6 anipe kwa moyo wake wote.

Huyo kwangu ni dhahiri ananipenda.
Kuna demu mmoja nilimuuliza hili swali akasema kwanza asikunyime hela na akupigie simu kila mara[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Me mwanamke akionesha kunipenda mzuka na yeye unakata kabisa yani!! Me napenda dem anisumbue yani me ndo nimtesekee kumpata! Kuna dem bikra ananishobokea na anataka anipe papuchi ila sina hata mzuka nae! yani madem hanjui tu wanaume tunapenda wanawake wagumu kuwapata! Sema na mm kuna dem nafukuzia mgumu huyo ila ndo napenda wagumu sio dem unanishobokea kila saa unantxt me nakereka kwa kweli!! Wanawake em ringeni muone mtakavyokuwa mnavutia watu wengi! #MWANAMKERINGA
 
Mimi yani text mda wote mpaka zawadi kananinunulia nime jaribu kukakataza kaache wapi.yani kameanza kunishawishi na kwenda church wakati sikuwa na mpango huo.
 
We Bata inamaana hata hicho unachotendewa kwenye avatar bado hakitoshi tu..?? We utakuwa na ukoo wa ndungulire..🤣
leta yako kijana 🏃🏾‍♀️
 
Kuna mtu anaanza kum consider.. play your cards right chief
Nimecheat 2 times, nimeshamwambia tuachane 3 times. Ila wala hana mpango wa kuachana na mimi, huwa ananiambia nikichoka kufanya ujinga wangu yeye yupo haendi kokote.

Ila juzi kati aliniambia endapo nitafungua mdomo wangu kumwambia tuachane tena, this time ataondo bila kuangalia nyuma.
 
Aysee,kuna hii moja niko nayoo,inajifanya kuwa inanipenda ila ipo kwa ajili ya kipato na na c kingne,imagn nmeiaimbia kuwa naumwa na jana nmeenda aghakhn hospital kwa ajili ya matibabu,wakuu najua mnafahaham cost za hiz hosptal,ila cha ajabu leo kanijia geto mkavumkavu eti anaanza kuomba hela ya kusukia at the same time ananambia brth day yake n tareh 5,hapa ndo kanivuruga kabxa hata ckumjibu na kesho anapigwa chinii....kumbe inawezkana mwamamke kumuomba hela mme alielazwa ICU,
 
Kumbe kuna watu bado mnapendwa miaka hii!
 
Nimecheat 2 times, nimeshamwambia tuachane 3 times. Ila wala hana mpango wa kuachana na mimi, huwa ananiambia nikichoka kufanya ujinga wangu yeye yupo haendi kokote.

Ila juzi kati aliniambia endapo nitafungua mdomo wangu kumwambia tuachane tena, this time ataondo bila kuangalia nyuma.

Wanawake akili zetu zilivyo ni kwamba baadae ukikolea atakuja kulipiza,hili jiandae nakupa siri kama mwanamke
Now anajua hujakolea hataki kutumia nguvu sana utamuelewa badae kwanini alikwambia ye yupo haendi popote [emoji3]
 
Back
Top Bottom