Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Na umeshaishaaa!Nyie wafanyakazi wa serikali kwani mshahara ulishatoka?
Kwamba makusanyo ni machache?🤣Au Hazina Kule hamna kitu?
Utasikia pesa zinatumika kukarabati miundo mbinu ya umemeKwamba makusanyo ni machache?🤣
Utasikia pesa zinatumika kukarabati miundo mbinu ya umeme
Labda...Au labda zimelipa wenza wa wastaafu?
Wake wenza mbali sana,,Au labda zimelipa wenza wa wastaafu?
Ndio hivyo Toka jana mchana, wengine ndio tunasubiri second selectionMtoa mada una uhakika kuwa wengine wamepata mshahara?
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Wake wenza mbali sana,,
Zimelipia vacation za watoto wa wakuu wakale kismas
Hujui chochote zombi weweHivi shida ni nini? Unaangalia mshahara wako au unaangalia wa mwenzako? Kaa tulia endelea kupiga kazi pesa yako utalipwa tu, usiwe na kisirani