Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

Waswahili wacheni uvivu na kuendekeza umaskini.

Kama unamaanisha mshahara wa Sesemba , mbona mwezi bado haujaisha? Bado siku 10 nzima mwezi uishe, sasa ukilipwa leo mpaka kukuta mshahara mwingine si kazi itakuwa kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…