Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

Mnara wa Mashujaa Mbeya
Viazi
Mchele
Mahindi
Baridi
Uoto wa kijani
Mbuga ya Kitulo
Safi ya Milima ya Livingston
Ziwa Ngosi
Milima Rungwe
Milima Loleza
Kona za Chunya na mengi mazuri
Umesahu kitimoto bucha kila baada ya nyumba kadhaa
 
Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
Ilimradi ujaze msg ulizoanzisha sasa hii ni nini??? Mbona mnaharibu huu mtandao si ungeenda face book Ngosha...ndio maana wazanzibar hawataki kujitambulisha kama watanzania,wale woote ni Wazanzibar kama vile British people, Dutch people nk. Unaweza ku pretend Mtanzania ila Moroni mwako weweni Mmwanza au Mmachame nk upuuzi mtupu.
 
mlima mrefu afrika
msafara wa ndugu zetu mwezi wa 12.
utafutaji wa hellllllaaaaa aseee
 
Back
Top Bottom