dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Mimi binafsi
Sijawahi kuvutiwa na mtandao wa twitter,instagram japo nina akaunt lakini sijui nimetumia lini mara ya mwisho
Sijawahi kuvutiwa na tattoo za aina yoyote
Sijawahi kuipenda timu ya simba hata chembe hata yanga isingekuwepo sijui kwann
Sijawahi kushawishika kwenda gym wala swimming ..hata waje polisi hunikuti huko
Kuna hizi bia windhock,heinken na zingine zote za nje sizipendi sijui kwann...yaani ukitaka tuzinguane au niboreke niende sehem nikute zipo hizi tu.
Sinaga shobo na mademu..mpaka kufikia hatua ya kumfukuzia kwao..hilo hapana siwezi...dem kama anashida na mm anitafute
Wewe je