Kitu gani/mambo gani yanapendwa na watu lakini wewe hayakushawishi kukuvutia/kuyapenda?

Kitu gani/mambo gani yanapendwa na watu lakini wewe hayakushawishi kukuvutia/kuyapenda?

Kuna baadh ya nyimbo weng huzipenda ila mim sizipend

1.nyimbo nying za dini sizipend,zi kina gudluck gozbert na ule wa... Sjui baba umejua kunifurahisha... Ohh siupend

2.ile nyimbo mpyaa ya iiii yamba naweee, siiipend acha tuu

3.sipend kucheza kwenye mashereh au harus

4.sipend kuvaa sare
 
Yaani kumbe tusio penda singeli ni wengi na hapo kwenye modern bongo fleva tuko pamoja kabisa. Kwenye device yangu zimejaa bongo fleva za zamani na hip hop ngumu za kina niki mbishi, songa dizasta n.k. Hizi za sasa sizielewi kabisa asee.
Tupo pamoja mkuu Usimsahau mchizi Roma,Montr the future,izzo,fid nk
 
Sijawahi penda miziki ya singeli na reggae japo nasikiliza sana muziki, pc ina nyimbo zaid ya 15k ila hamna huo ujinga..

Mpira sina muda nao kabisa, mashabiki wake huwa nawashangaa sana..

Habar ya disco sijawah shawishika nayo hata kidogo

Chura sijui na wale wanawake mabonge tofauti kabisa na mm, dem akiwa cheupe alaf kimbaumbau nitatumia kila maarifa nimpate[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni jinsia gani mkuu ?

Hio kauli yako ya mwisho imenishtua kidogo imenipa ukakasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi penda miziki ya singeli na reggae japo nasikiliza sana muziki, pc ina nyimbo zaid ya 15k ila hamna huo ujinga..

Mpira sina muda nao kabisa, mashabiki wake huwa nawashangaa sana..

Habar ya disco sijawah shawishika nayo hata kidogo

Chura sijui na wale wanawake mabonge tofauti kabisa na mm, dem akiwa cheupe alaf kimbaumbau nitatumia kila maarifa nimpate[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi utakuwa na vinasaba vya upande wa pili Either ubwabwa au mchele wali biriani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni mapunga wenye inferiority conplex.
Unakuta hapo mnasikiliza sana country music,EDM na pop ili uwe kama mzungu halafu vya kwako husapoti
Kabsa mkuu wanzngua tu hawa

yess BiShoo haswaaAaa
 
Mpira sipendi hata unilazimishe niangalie ntawaza vitu vingine
Sipendi bongo movie jmn Yan ikianza intro tu nishatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja, yaan sipend na sijawahi Fanya, ila cha ajabu unakuta mtu ati ana wanaume 3 mmmh najiuliza mtu anawezaje kuwasiliana nao wote? Wanaume ndo usiseme dah
Je anawezaje ficha mawasiliano?
 
Umalaya! Yani mimi kuwa na Mademu wawili kwa wakati mmoja siwezi kabisaaaaa nimeshindwa! Mimi ni muumini Mkubwa sana wa True love huwa nakaa na demu mmoja nampa mapenzi yoote akizingua tu akinicheat basi huwa siulizi mara mbili napiga chini hapo hapoo!

Nishadate na wanawake zaidi ya 15 huyu wa 16 niliye naye sasa Namshukuru Mungu amejibu maombi yangu hajawahi nicheat na hana ha dalili ya kucheat! Ila akicheat tuu I dont care who the Hell she is, nampenda kiasi gani mm napiga chiniii! Coz mm Mwanaume vishawishi vipo vingi ila nimetulia kwa sababu yako halafu wewe ndo uniletee upimbi?

Huwa sinaga msamaha kwa hilo namshukuru saana Mungu na sijawahi kata tamaa hata niumizwe vipi sijawahi kufikiria kuwa na mademu wengi au kuacha kupenda eti kisa mademu hawaaminiki! Nina Imani wapo wanaoaminika na ndo nitakayemuoa mm I hope niliyenaye ndiye nwenyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
Una moyo..
 
Back
Top Bottom