dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Singeli, huwa nikisikia inapigwa redion au tv nakimbia haraka kwenda kuzima. Nikiwa kwenye boda boda huwa namwambia azime akikataa namwambia simamisha pikipiki nishuke.
unasikiliza nyimbo gani zaidi?Sijawahi penda miziki ya singeli na reggae japo nasikiliza sana muziki, pc ina nyimbo zaid ya 15k ila hamna huo ujinga..
Mpira sina muda nao kabisa, mashabiki wake huwa nawashangaa sana..
Habar ya disco sijawah shawishika nayo hata kidogo
Chura sijui na wale wanawake mabonge tofauti kabisa na mm, dem akiwa cheupe alaf kimbaumbau nitatumia kila maarifa nimpate[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi penda miziki ya singeli na reggae japo nasikiliza sana muziki, pc ina nyimbo zaid ya 15k ila hamna huo ujinga..
Mpira sina muda nao kabisa, mashabiki wake huwa nawashangaa sana..
Habar ya disco sijawah shawishika nayo hata kidogo
Chura sijui na wale wanawake mabonge tofauti kabisa na mm, dem akiwa cheupe alaf kimbaumbau nitatumia kila maarifa nimpate[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unalazamisha watu wapende kitu wakati wamekuambia hawakitaki halafu unawaita majina ya ajabu,Nyie ni mapunga wenye inferiority conplex.
Unakuta hapo mnasikiliza sana country music,EDM na pop ili uwe kama mzungu halafu vya kwako husapoti
Nyie ni mapunga wenye inferiority conplex.
Unakuta hapo mnasikiliza sana country music,EDM na pop ili uwe kama mzungu halafu vya kwako husapoti
Sasa unalazamisha watu wapende kitu wakati wamekuambia hawakitaki halafu unawaita majina ya ajabu,
Maisha magumu wapu,mtu anakaa kwa shemeji yake
kingine ambacho nawaonaga ni watu wa ajabu ni wale wanaenda vijiweni na kunywa kahawa na kashata sijui.....yaani sijui wanapata ladha gani..nawashangaaga sana aiseeSijawahi penda miziki ya singeli na reggae japo nasikiliza sana muziki, pc ina nyimbo zaid ya 15k ila hamna huo ujinga..
Mpira sina muda nao kabisa, mashabiki wake huwa nawashangaa sana..
Habar ya disco sijawah shawishika nayo hata kidogo
Chura sijui na wale wanawake mabonge tofauti kabisa na mm, dem akiwa cheupe alaf kimbaumbau nitatumia kila maarifa nimpate[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mwanangu yan kat ya vitu adimu unavyovikosa ni ndan ya reggae! Mzee just try a little bit to listen reggae's msg kuna kitu utajfunza trust meSijawahi penda miziki ya singeli na reggae japo nasikiliza sana muziki, pc ina nyimbo zaid ya 15k ila hamna huo ujinga..
Mpira sina muda nao kabisa, mashabiki wake huwa nawashangaa sana..
Habar ya disco sijawah shawishika nayo hata kidogo
Chura sijui na wale wanawake mabonge tofauti kabisa na mm, dem akiwa cheupe alaf kimbaumbau nitatumia kila maarifa nimpate[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
hajazipata tafsiri zake bila shakaDah mwanangu yan kat ya vitu adimu unavyovikosa ni ndan ya reggae! Mzee just try a little bit to listen reggae's msg kuna kitu utajfunza trust me
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahaw na kashata Ni tamu bana..kingine ambacho nawaonaga ni watu wa ajabu ni wale wanaenda vijiweni na kunywa kahawa na kashata sijui.....yaani sijui wanapata ladha gani..nawashangaaga sana aisee
Yaani kumbe tusio penda singeli ni wengi na hapo kwenye modern bongo fleva tuko pamoja kabisa. Kwenye device yangu zimejaa bongo fleva za zamani na hip hop ngumu za kina niki mbishi, songa dizasta n.k. Hizi za sasa sizielewi kabisa asee.Siwezi kusikiliza Singeli na modern bongo Fluleva
Siwezi kushabikia mpira wa bongo
Siwezi na sijawahi kutumia Instagram
Nk.