Kitu gani/mambo gani yanapendwa na watu lakini wewe hayakushawishi kukuvutia/kuyapenda?

Kuna baadh ya nyimbo weng huzipenda ila mim sizipend

1.nyimbo nying za dini sizipend,zi kina gudluck gozbert na ule wa... Sjui baba umejua kunifurahisha... Ohh siupend

2.ile nyimbo mpyaa ya iiii yamba naweee, siiipend acha tuu

3.sipend kucheza kwenye mashereh au harus

4.sipend kuvaa sare
 
Yaani kumbe tusio penda singeli ni wengi na hapo kwenye modern bongo fleva tuko pamoja kabisa. Kwenye device yangu zimejaa bongo fleva za zamani na hip hop ngumu za kina niki mbishi, songa dizasta n.k. Hizi za sasa sizielewi kabisa asee.
Tupo pamoja mkuu Usimsahau mchizi Roma,Montr the future,izzo,fid nk
 
We ni jinsia gani mkuu ?

Hio kauli yako ya mwisho imenishtua kidogo imenipa ukakasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi utakuwa na vinasaba vya upande wa pili Either ubwabwa au mchele wali biriani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni mapunga wenye inferiority conplex.
Unakuta hapo mnasikiliza sana country music,EDM na pop ili uwe kama mzungu halafu vya kwako husapoti
Kabsa mkuu wanzngua tu hawa

yess BiShoo haswaaAaa
 
Mpira sipendi hata unilazimishe niangalie ntawaza vitu vingine
Sipendi bongo movie jmn Yan ikianza intro tu nishatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja, yaan sipend na sijawahi Fanya, ila cha ajabu unakuta mtu ati ana wanaume 3 mmmh najiuliza mtu anawezaje kuwasiliana nao wote? Wanaume ndo usiseme dah
Je anawezaje ficha mawasiliano?
 
Una moyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…