Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Safi sana, ashukuriwe Mungu kwa hili.Kumrudia Mungu..
Hongera sana mkuu π πKumalizia ghorofa langu vikindu ila Bado kidogo sana
Kesho nitakosa nguvu ya kuuliza tena, kwa sababu leo wewe hujanijibu.Kila siku unatuuliza na tunakujibu, sijui kesho utatuuliza nini?
Hongera sana, hatua nzuri kiuchumi na safi kwa afya πNimefanikiwa kuacha pombe. Kwa sasa ninafurahia kuwa na maisha ya no stimu.
Asante sana.Hongera sana, hatua nzuri kiuchumi na safi kwa afya π
Safi sana Mamy, I'm happy for you π π πNimeanzisha Biashara na inanilipa vizuri tu
Urushaji wa nyavu maji mafupi. Kila la kheri kaka wa kahawaKumalizia ghorofa langu vikindu ila Bado kidogo sana
Inapendeza sana πKuhudumia bustani ya maua na mboga mboga jioni kuacha kupitia bar nikitoka kibaruani
Hatua nzuri sanaKuhudumia bustani ya maua na mboga mboga jioni kuacha kupitia bar nikitoka kibaruani
Uwekezaji wenye tija, hongera πuwekezaji kwenye masoko ya fedha