Kitu gani uliamua kukifanya toka mwaka umeanza, ambacho kimezaa matunda au kimekusogeza mbele?

Kitu gani uliamua kukifanya toka mwaka umeanza, ambacho kimezaa matunda au kimekusogeza mbele?

Nimefungua saloon ya kiume bongo, gadamn. Napata mzigo. Fremu zangu lakini. Mtaji 400,000 ila nimeurudisha chaap. Nakula faida before even 3 months.
 
Nimenyoa naona km nimeacha ukorofi ss hivi, itakuwa ule msitu kichwani umechangia kunivuruga 😹😹😹
 
Tupe uzoefu wa mwaka 2025 kwa siku hizi siku 64 za mwanzo.
Toka january mpaka leo, vitu gani vya manufaa au tabia gani mpya zimekusaidia / zimebadili maisha yako.

View attachment 3260479

Binafsi ni ku prioritize afya yangu, kufanya mazoezi na kula vizuri.
Nimesoma kichwa cha habari Tu.

Uaminifu katika Kazi yangu ya Udalali imezaa matunda.

Sasa nimeanza kufahamiana na maboss Mbali Mbali.Kwangu hii kitu ni kubwa sanaaaa hata kama bado hawajaanza kununua Kazi zangu.

Kuwa na namba zao za simu na kufanya mazungumzo ya kibiashara kwangu Mimi ni bonge moja la deal.
 
Hongera sana mkuu 👏 👏 👏
 
Back
Top Bottom