Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
We bado ukorofi unaoNimenyoa naona km nimeacha ukorofi ss hivi, itakuwa ule msitu kichwani umechangia kunivuruga 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bado ukorofi unaoNimenyoa naona km nimeacha ukorofi ss hivi, itakuwa ule msitu kichwani umechangia kunivuruga 😹😹😹
Sema kweli? 😹😹We bado ukorofi unao
Tena naona huu mwezi ndo umekua mkorofi zaidiSema kweli? 😹😹
😹😹 Dah.!!Tena naona huu mwezi ndo umekua mkorofi zaidi
Sawa, tunza pesa yako ije kukutunza 😂Kuhonga
😀😀😀Sawa, tunza pesa yako ije kukutunza 😂
Ofcourse nimetoka fanya discussion hii si mida mirefu kabla sijaona post yako.Daah safi sana 👏 , muda si mrefu utafungua na nyingine!
Ilo ni fumbo huwezi elewa kimsingi nilikuwaga natumia pesa kumtuliza mwanamke asitoke ndani I was totally wrongIla wewe 😂, haya imekusaidiaje?
Nakuelewa sana mtu mkubwaHongera sana mkuu 👏 👏 👏
Haaa haaa kumbe ilikua fumbo,basi sawa.Ilo ni fumbo huwezi elewa kimsingi nilikuwaga natumia pesa kumtuliza mwanamke asitoke ndani I was totally wrong
Tunza kibunda akoSawa, tunza pesa yako ije kukutunza 😂
Ilo ni fumbo huwezi elewa kimsingi nilikuwaga natumia pesa kumtuliza mwanamke asitoke ndani I was totally wrongIla wewe 😂, haya imekusaidiaje?
nilipita katikati nikaenda zanguHaaa haaa kumbe ilikua fumbo,basi sawa.
Ila, toka umeacha kutumia mkate vipi ametulia au bado anatoka?
ChaiNimeanzisha Biashara na inanilipa vizuri tu
Fabiashara 😅Nimeanzisha Biashara na inanilipa vizuri tu