Kitu gani uliamua kukifanya toka mwaka umeanza, ambacho kimezaa matunda au kimekusogeza mbele?

Nimefungua saloon ya kiume bongo, gadamn. Napata mzigo. Fremu zangu lakini. Mtaji 400,000 ila nimeurudisha chaap. Nakula faida before even 3 months.
 
Nimenyoa naona km nimeacha ukorofi ss hivi, itakuwa ule msitu kichwani umechangia kunivuruga 😹😹😹
 
Nimesoma kichwa cha habari Tu.

Uaminifu katika Kazi yangu ya Udalali imezaa matunda.

Sasa nimeanza kufahamiana na maboss Mbali Mbali.Kwangu hii kitu ni kubwa sanaaaa hata kama bado hawajaanza kununua Kazi zangu.

Kuwa na namba zao za simu na kufanya mazungumzo ya kibiashara kwangu Mimi ni bonge moja la deal.
 
Nimefungua saloon ya kiume bongo, gadamn. Napata mzigo. Fremu zangu lakini. Mtaji 400,000 ila nimeurudisha chaap. Nakula faida before even 3 months.
Daah safi sana πŸ‘ , muda si mrefu utafungua na nyingine!
 
Hongera sana mkuu πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…