Kitu gani ulifanya mwaka jana na hutamani mwingine akosee kama wewe?

Kitu gani ulifanya mwaka jana na hutamani mwingine akosee kama wewe?

Kukosea ni sehemu ya maisha,wala usiogope kukosea kisa mwenzako alikosea,

Making mistake is a natural part of growth,
Anyone who has never made a mistake has never tried anything new.
 
Mwaka jana nilipitia mateso kihisia na kiuchumi lakn ndo mwaka umenifungulia Dunia na maisha yangu nayaanza mwaka huu kwa raha sana

Hakuna kufel nimejifunza kuna muda kusarimu amri (surrender) sio uoga bali kujipanga zaid ( Netanyahu style) kwakwl mwaka jana niliomba ceasefire kama 12 days war lakn mwaka huu nashambulia tu
 
Kumkopesha rafiki angu flan ivi!, huwezi amini mpaka sasa nimepoteza vyote, yaani urafiki umekufa na pesa zangu zimepotea kaniblock hadi kwenye simu simpati.
Daaah hii nimeifanya mm yaani huyu mdada neema huyu ana laki yangu mpaka sasA
 
Kununua nyumba mpya mpya zile za madale. Nyumba inapukutika, kwemye nondo nne wanaweka mbili. Beams zinapasuka, ukigonga ukutani msumari unaingia kama kwenye mkate vile.

Nyumba za chap chap zile sio za kununua mazee. Utalia
😂😂😂😂😂😂😂🫵🫵ukigonga ukutani msumari unaingia kama kwenye mkate vile.

Hayo ndo mambo napenda sasa
 
Kukosea ni sehemu ya maisha,wala usiogope kukosea kisa mwenzako alikosea,

Making mistake is a natural part of growth,
Anyone who has never made a mistake has never tried anything new.
Mvunja mabarafu wewe unataka kosa ulilofanye nao warudie kisa ni sehemu ya maisha mkuu...

Weka neno bana
 
Back
Top Bottom