Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
😂😂😂😂😂😂😂 Uli sarrender sioMwaka jana nilipitia mateso kihisia na kiuchumi lakn ndo mwaka umenifungulia Dunia na maisha yangu nayaanza mwaka huu kwa raha sana
Hakuna kufel nimejifunza kuna muda kusarimu amri (surrender) sio uoga bali kujipanga zaid ( Netanyahu style) kwakwl mwaka jana niliomba ceasefire kama 12 days war lakn mwaka huu nashambulia tu