Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 563
- 1,362
Africa kila kitu ni kamari, kilimo ni kamari , biashara ni kamari mapenzi ni kamari na nkGambling!!
Msijichanganye
Nadhani hata ukizaliwa Africa ni kamari tosha piaAfrica kila kitu ni kamari, kilimo ni kamari , biashara ni kamari mapenzi ni kamari na nk
Hahahaha Daaah noma sanaKununua nyumba mpya mpya zile za madale. Nyumba inapukutika, kwemye nondo nne wanaweka mbili. Beams zinapasuka, ukigonga ukutani msumari unaingia kama kwenye mkate vile.
Nyumba za chap chap zile sio za kununua mazee. Utalia
Neno zito sana hili na lenye maana pana sana.Nilikosea kuogopa kukosea.
o wanasema to dare is to do!!!Nilikosea kuogopa kukosea.
Mkamalia suguGambling!!
Msijichanganye
Daaah hii nimeifanya mm yaani huyu mdada neema huyu ana laki yangu mpaka sasAKumkopesha rafiki angu flan ivi!, huwezi amini mpaka sasa nimepoteza vyote, yaani urafiki umekufa na pesa zangu zimepotea kaniblock hadi kwenye simu simpati.
ππππππππ«΅π«΅ukigonga ukutani msumari unaingia kama kwenye mkate vile.Kununua nyumba mpya mpya zile za madale. Nyumba inapukutika, kwemye nondo nne wanaweka mbili. Beams zinapasuka, ukigonga ukutani msumari unaingia kama kwenye mkate vile.
Nyumba za chap chap zile sio za kununua mazee. Utalia
Ahahaha ukizaliwa africa ni GG ila tanzania ni 0.5 over halfNadhani hata ukizaliwa Africa ni kamari tosha pia
Mvunja mabarafu wewe unataka kosa ulilofanye nao warudie kisa ni sehemu ya maisha mkuu...Kukosea ni sehemu ya maisha,wala usiogope kukosea kisa mwenzako alikosea,
Making mistake is a natural part of growth,
Anyone who has never made a mistake has never tried anything new.