Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
πππππππ Uli sarrender sioMwaka jana nilipitia mateso kihisia na kiuchumi lakn ndo mwaka umenifungulia Dunia na maisha yangu nayaanza mwaka huu kwa raha sana
Hakuna kufel nimejifunza kuna muda kusarimu amri (surrender) sio uoga bali kujipanga zaid ( Netanyahu style) kwakwl mwaka jana niliomba ceasefire kama 12 days war lakn mwaka huu nashambulia tu
Sema huo upuuzi hata mmoja shalobaloNilifanya upuuzi mwingi sana kiasi kwamba hauhesabiki.
ππππππππ«΅π«΅ukigonga ukutani msumari unaingia kama kwenye mkate vile.
Hayo ndo mambo napenda sasa
Nimecheka sana πππππMkuu wanachakachua saruji, ratio ya mchanga na saruji sijui wanaifanyaje kwenye plaster/lipu. Ukipiga msumari kuweka pazia mchanga unaanguka na panabaki tundu kubwa hatari.
Wee hiyo cha mtoto...ππππkuna zile hesabu za Kukaa karibu kodi kubwa nauli ndogo, kukaa mbali nauli kubwa kodi ndogo, Zimenichanganya sana mwaka Jana..
Mwaka huuu lazima nijipange, Hesabu nilijua ngumu Shuleni tuu, kumbe mpaka mtaani π
Ahahahaha bado kuna EternalF.I.C and. LBL
Mkamalia suguKubet
Kuna muda ili uvuke vikwazo unaomba ceasefire tuπππππππ Uli sarrender sio
pole mkuu tunajifunza kupitia makosa.Daaah hii nimeifanya mm yaani huyu mdada neema huyu ana laki yangu mpaka sasA
Kuna kipindi nilipitia aiseee hiko ndio kimenikomaza mpaka sasa an nimeapa mimi kurudi ile level hapana aiseeeKuna muda ili uvuke vikwazo unaomba ceasefire tu
Ukivuka hicho kipind lazma uwe na akil kama za KunguruKuna kipindi nilipitia aiseee hiko ndio kimenikomaza mpaka sasa an nimeapa mimi kurudi ile level hapana aiseee
Yaan mapambano.nayofanya sasa hivi aiseee na hapa bado sina permanent work ila...Ukivuka hicho kipind lazma uwe na akil kama za Kunguru
Hilo la muhmu mkuuYaan mapambano.nayofanya sasa hivi aiseee na hapa bado sina permanent work ila...
Mungu ajalie nipate mishangazi yenye mapesa mengi