Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Inawezakutokea jambo liwe zuri ama baya watu wengi wakaamini wewe ndo muhusika lakini ukweli wewe unafahamu haujahusika kabisaa.
Mfano ninapoishi kazini kwangu nipo na rafiku yangu mmoja wa kike kwa sasa tuna miaka zaidi ya miwili tupo wote kirafiki tu ila watu wengi sanafikiriaga nagembea nae kuanzia mke wangu hadi bwana wa huyo rafiki yangu.
Pia kwenye kazi yangu ninayoifanya watu wengi karibia wote wanaamini nimesomsa kwajinsi tu ninavoifanya kitaalamu zaidi. Lakini ukweli ni ksamba veta nilienda ila sikusomea kabisa hicho kitu ninachokifanya.